Sunday, 10 April 2011

maisha si kukwazana

Posted by Kitalima Gerald On 02:06
karibuni tena wapenzi wa safu hii kwani ni nkawaida yetu kuendelea kupeana elimu juu ya mausiano,lakin le ningependa kutoa hits kuhusiana na maisha hususan ktk ndoa na mausiano,kwani unakuta kuna watu kwa namna moja au nyingine huwakwaza wapenzi wao au wandoa wao kwa mambo ya madogo madogo kama hivi,


simu za mkononi
kwa namna moja au nyingne kuna watu simu zao za mkononi ni kitu cha msingi tena hawapo teyali hata kwa wapenzi wao kushika au kusachi hzo simu bila ridhaaa kutoka kwake sasa ndugu yangu kama upo katika mausiano na myu wa aina hii yanini utake ku mkwaza kwa kuyitafuta simu yke kwa udi na uvumba ili uweze kujua nini kinaendelea,hvyo hupaswi ku mkwaza kwa namn hii kama unahisi mtu wako si muaminifu tumia njia nyingne ili kuweza kumbaini na uchafu wake ila sii kumkwaza

Kindly Share This Post to sustain Mpitanjia News Blog »»

Categories:

0 comments:

Post a Comment

  • About Us

  • About Us